Je! Wana wenu huwatoa kwa nani? maana yake ni nini?

SWALI: Bwana Yesu alimaanisha nini kusema “je! Wana wenu huwatoa pepo kwa uweza wa nani?” pale Mafarisayo walipomwambia kuwa yeye anatoa pepo kwa Beelzebuli mkuu wa pepo? JIBU: Tusome kuanzia juu kidogo habari yenyewe, Mathayo 12:24 “Lakini Mafarisayo waliposikia, walisema, Huyu hatoi pepo, ila kwa Beelzebuli mkuu wa pepo. 25 Basi Yesu akijua mawazo yao, … Continue reading Je! Wana wenu huwatoa kwa nani? maana yake ni nini?