Kutabana ni nini? (Mika 5:12)

Kutabana ni kitendo kinachofanywa na wachawi cha kutabiri mambo yajayo kwa kutazama vitu fulani. Kwamfano wasomaji nyota, wasomaji viganja, watazamaji wa nyakati mbaya n.k. wote wanatabana Utalisoma neno hilo kwenye kifungu hiki; Mika 5:12 “nami nitakatilia mbali uchawi, usiwe mkononi mwako; wala hutakuwa tena na watu wenye kutabana; 13 nami nitakatilia mbali sanamu zako na … Continue reading Kutabana ni nini? (Mika 5:12)