Nyuni ni nini?(Mathayo 13:32, Sefania 2:14)

Nyuni ni neno linalomaanisha ndege. Hivi ni baadhi ya vifungu katika biblia vinavyolitaja neno hilo; Mathayo 13:31 “Akawatolea mfano mwingine, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na punje ya haradali, aliyoitwaa mtu akaipanda katika shamba lake; 32 nayo ni ndogo kuliko mbegu zote; lakini ikiisha kumea, huwa kubwa kuliko mboga zote, ikawa mti, hata nyuni wa … Continue reading Nyuni ni nini?(Mathayo 13:32, Sefania 2:14)