Je! ile habari ya watu wawili wenye pepo inajichanganya?
SWALI: Biblia inajichanganya yenyewe katika Marko 5:1-6 na Mathayo 8:28-31?..Kwa maana tunaona ni habari moja lakini kila moja imezungumzwa tofauti na nyingine. JIBU: Tusome Marko 5:1 “Wakafika ng’ambo ya bahari mpaka nchi ya Wagerasi. 2 Na alipokwisha kushuka chomboni, mara alikutana na mtu, ambaye ametoka makaburini, mwenye pepo mchafu; 3 makao yake yalikuwa pale makaburini; … Continue reading Je! ile habari ya watu wawili wenye pepo inajichanganya?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed