MARINDA KATIKA BIBLIA NI KITU GANI?

SWALI: Marinda yanayozungumziwa kwenye Yeremia 13:26 ni kitu gani? Jibu: Tuanze kusoma kuanzia juu kidogo.. Yeremia 13: 24 “Kwa sababu hiyo nitawatawanya, kama makapi yapitayo, kwa upepo wa jangwani.  25 Hiyo ndiyo kura yako, fungu lako ulilopimiwa na mimi, asema Bwana; KWA KUWA UMENİSAHAU, NA KUUTUMAİNİA UONGO. 26 Kwa ajili ya hayo, MİMİ NAMİ NİTAYAFUNUA … Continue reading MARINDA KATIKA BIBLIA NI KITU GANI?