Bustani ya Edeni ipo nchi gani?

Bustani ya Edeni ipo nchi gani kwa sasa duniani? Mungu alipoiumba dunia, alichagua eneo moja, na kulifanya kuwa la kipekee na la kitofauti na maeneo mengine yote aliyoyaumba duniani. Eneo hilo akaliita Edeni. Edeni maana  yake ni eneo la furaha kuu, utulivu,paradiso ya Mungu. Lakini hakuishia hapo tu bali ndani ya hiyo Edeni upande wa … Continue reading Bustani ya Edeni ipo nchi gani?