Wibari ni nani?(Mithali 30:26)
SWALI: Wibari ni nani? Na kwanini wanatajwa kama moja wa viumbe wanne wenye akili nyingi?(Mithali 30:26) JIBU: Wibari ni wanyama wadogo wanaokaribia kufanana na sungura, kwa jina lingine wanajulikana kama pimbi, au kwanga, au perere, tazama kwenye picha. Wanyama hawa utawaona wakitajwa kwenye vifungu hivi katika biblia; Walawi 11:4 “Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala … Continue reading Wibari ni nani?(Mithali 30:26)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed