Sodoma ipo nchi gani?

Sodoma ipo nchi gani? Sodoma na Gomora ni miji iliyokuwa katika nchi ya Kaanani (Ambayo ndio Israeli ya Sasa). Miji hii miwili ni moja kati ya miji mitano iliyokuwa katika bonde la Yordani..mingineyo ¬†ikiwemo, ni Adma, Seboimu, na Lasha. Kama tunavyoijua habari, miji hii miwili (yaani Sodoma na Gomora) ndiyo iliyokuwa kiini cha maovu yote … Continue reading Sodoma ipo nchi gani?