Kuota upo nchi nyingine.

Kuota upo nchi nyingine. Kama tunavyojua ukisafiri mahali ambapo ni tofuati na makazi yako ya asili, utakutana na mabadiliko mengi sana, hususani pale unapovuka mipaka na kuingia katika nchi nyingine, si ajabu kukutana na hali ya hewa ya aina nyingine, kukutana na watu wa jamii nyingine, kukutana na lugha gheni, n.k.. Na hiyo itakufanya usijione … Continue reading Kuota upo nchi nyingine.