KWANINI NI YESU KRISTO WA NAZARETI?

Jina la Bwana wetu libarikiwe daima. Nakukaribisha katika kujifunza Maneno ya Mungu. Leo kwa ufupi tutatazama sehemu ya maisha ya Bwana wetu Yesu jinsi yalivyokuwa hapa duniani. Kama tunavyojua maisha yake ni ufunuo tosha wa kanisa la Kristo jinsi linavyopaswa liwe. Tukisoma maandiko tunaona Bwana Yesu alitabiriwa kuwa atatokea katika uzao wa Daudi, na pia … Continue reading KWANINI NI YESU KRISTO WA NAZARETI?