Nini maana ya K.K, na B.K?  (B.C na A.D).

Hivi ni vifupisho vya nyakati. K.K – Maana yake ni  Kabla ya kuzaliwa Kristo Yesu. Kwa kiingereza (B.C – Before Christ) Na B.K  ­- Maana yake ni Baada ya kuzaliwa kwake Kristo Yesu. Kwa kiingereza (A.D– Anno Domino- Katika mwaka wa Bwana ) Lakini mahali pengine wanatumia kifupi cha K.W.K kumaanisha K.K. na  WK kumaanisha … Continue reading Nini maana ya K.K, na B.K?  (B.C na A.D).