Kuabudu ni nini? Kuabudu maana yake ni “kufanya Ibada”.. Kitendo cha kufanya Ibada ndio “kuabudu”. . Hivyo Ibada yoyote ile ni lazima ijumuishe vitu hivi vitano vifuatavyo. Kujifunza Maneno yake na kuyatafakari Hii ndio sehemu ya kwanza na ya muhimu katika Ibada.. Na kumbuka kujifunza sio kukariri, bali ni kukaa chini na kuyachambua maandiko kwa … Continue reading Nini maana ya kuabudu?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed