Ni kwanini mifugo ya Yakobo iliongezeka kwa wingi kiasi kile?

SWALI: Ni nini alichokifanya Yakobo kwa ile mifugo ya Labani mpaka ikaongezeka kwake kwa wingi kuliko ya mjomba yake? Tukisoma biblia tunaona baada ya Yako