Uvuvio ni Nini? Neno uvuvio maana yake ni “kupuliza hewa kwa nguvu”..unapopuliza makaa ya moto maana yake unayavuvia makaa. Unaweza kuuvuvia makaa ya moto kwa mdomo au pepeo. Ayubu 20: 26 “…..Moto ambao HAUKUVUVİWA na mtu utamla; Utayateketeza yaliyosalia hemani mwake”. Maana ya mstari huo ni kwamba, moto ambao umezuka tu wenyewe ambao haujapulizwa na … Continue reading Nini maana ya uvuvio?.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed