GOGU NA MAGOGU, Katika biblia ni nani?
Neno Gogu na Magogu limeonekana sehemu mbili katika biblia, Sehemu ya kwanza ni katika kitabu cha Ezekieli 38:2, na katika Ufunuo 20:8. Sasa ni vizuri kujua kwanza Magogu ni nini, ndipo tuje kwa Gogu. Magogu sio wingi wa Gogu.. hapana!.. bali ni jina la mtu mmoja, ambalo tunalipata katika kitabu cha Mwanzo 10:2. Mwanzo 10: … Continue reading GOGU NA MAGOGU, Katika biblia ni nani?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed