Kwanini wale dubu waliowauwa vijana wa Elisha walikuwa wa kike?

SWALI: Bwana Yesu apewe sifa Ukisomo kitabu cha 2 WAFALME 2:24 napenda kuelewa mbona pale wanatokea dubu wawili wa kike mwituni na sio wa kiume? 2Wafalme 2:24 “Akatazama nyuma akawaona, akawalaani kwa jina la Bwana. Wakatoka dubu wawili wa kike mwituni, wakawararua vijana arobaini na wawili miongoni mwao”. JIBU: Tofauti na sisi wanadamu, kwa upande … Continue reading Kwanini wale dubu waliowauwa vijana wa Elisha walikuwa wa kike?