Masuke ni nini? (Luka 6:1, Marko 4:28)

Masuke ni niniĀ  katika biblia? Masuke ni ile sehemu ya nafaka inayotoa ua na mbegu ndani yake, Kwamfano Ngano suke lake linachipuka kwa pale juu, tazama picha, na nafaka kama mahindi suke lake ndio lile linalochipukia hindi lenyewe. Lakini nafaka yote sio suke, wala hindi lote sio suke, bali ile sehemu inayotoa mbegu au ua … Continue reading Masuke ni nini? (Luka 6:1, Marko 4:28)