Kijicho ni nini? (Marko 7:22)

Kijicho ni nini kibiblia? Kijicho ni kitendo kilichoaminika na jamii nyingi za zamani, kwamba mtu anaweza kukusababishia madhara au kukuletea laana, kwa kukutazama tu kwa macho yake, na hiyo inaweza ikawa amekusudia au hajakusudia kufanya hivyo. Na hiyo  huwa inasababishwa na wivu. Imani hii hata sasa ipo kwa watu wengi, wanaamini kuwa jicho la mtu … Continue reading Kijicho ni nini? (Marko 7:22)