Aina za dhambi

Aina za dhambi ni zipi? Dhambi zimegawanyika katika makundi makuu manne: Dhambi za makusudi, Dhambi zisizo za makusudi Dhambi za kutotimiza wajibu Dhambi za kutokujua. 1) Dhambi za Makusudi: Hizi ni dhambi ambazo mtu anajua kabisa biblia imekataza kuzifanya lakini yeye anakwenda kuzitenda hivyo hivyo . Mfano wa dhambi hizi ni kama uzinzi, wizi, uuaji, … Continue reading Aina za dhambi