Matoazi na Matari ni nini? (Kutoka 15:20)

SWALI: Shalom, Naomba kuuliza maana ya MATOAZI kama vyombo vya muziki ni chombo gani? Asante sana JIBU: Matoazi, na  Matari ni jamii moja,, Hizi ni za ala za muziki, ambazo zilitumika kwa matukio tofauti tofauti , aidha kusifu, kuimba, kusherehekea, kukaribisha, kupongeza na wakati mwingine kwenye miendo ya  vitani.. zikiimbwa huwa zinashikiliwa na mkono mmoja … Continue reading Matoazi na Matari ni nini? (Kutoka 15:20)