JE UPENDO WAKO UMEPOA?

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tuyatafakari Pamoja maandiko. Kuna hili andiko ambalo ni maarufu sana kwetu, ambalo ni unabii Bwana alioutoa na kusema kuwa utatimia kipindi kifupi sana kabla ya kurudi kwake mara ya pili duniani.. Na neno hilo tunalisoma katika Mathayo 24:12 inasema; “Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, UPENDO WA … Continue reading JE UPENDO WAKO UMEPOA?