Kinubi ni nini katika biblia? (1Samweli 16:16, 23)
Vyombo vya muziki vilivyotumika zamani katika biblia viligawanyika katika makundi makuu matatu. Vyombo vilivyopulizwa: Mfano Baragumu, filimbi, Tarumbeta, pembe, panda, Vyombo vilivyopigwa na kutoa sauti : Mfano Tari, Zomari, ngoma, kengele. Vyombo vilivyopigwa kwa kukwanyuliwa nyuzi zake: Mfano kinanda, kinubi, zeze, Santuri. Kinubi, ni moja ya ala ya muziki, iliyopigwa kwa kukwanyua nyuzi zake aidha … Continue reading Kinubi ni nini katika biblia? (1Samweli 16:16, 23)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed