JE YESU AMEJIAMINISHA KWAKO?

Shalom. Ni wakati mwingine tena Bwana ametupa neema ya kuyatafakari maneno yake, hivyo nakukaribisha katika kuyatafakari pamoja. Lipo jambo tunapaswa tujue kuwa tukisema tu tumemwamini Yesu, kisa tu tumeona anaponya watu, au anafufua watu, au anabariki watu, au amekubariki hata na wewe, hicho sio kigezo cha kuwa Yesu ameikubali imani yako kwake. Hatumpokei Kristo kwa … Continue reading JE YESU AMEJIAMINISHA KWAKO?