Panda/ Sauti ya panda ni nini kibiblia?(Danieli 3:5)

SWALI: Biblia inaposema “hapo mtakapoisikia sauti ya Panda” Inamaanisha nini. Panda ni nini? Panda ni pembe ya kondoo mume, ambayo ilitumika zamani kama tarumbeta. Ilipopigwa iliashiria aidha kutangaza jambo jipya na kutoa tahadhari; Danieli 3:5 wakati mtakapoisikia sauti ya panda, na filimbi, na kinubi, na zeze, na santuri, na zomari, na namna zote za ngoma, … Continue reading Panda/ Sauti ya panda ni nini kibiblia?(Danieli 3:5)