Nini maana ya Dirii, Chapeo na Utayari?

Chapeo: Chapeo ni kofia ngumu ya chuma waliyokuwa wanavaa watu waliokuwa wanakwenda vitani. Tazama picha chini. Kwa lugha ya kiingereza ni “Helmet” . Kwa nyakati hizi, shughuli nyingi na michezo mingi jamii ya kofia hizo zinatumika, kwamfano wanaondesha pikipiki ni lazima wavae helmet (yaani chepeo), kwa usalama wa safari yao hiyo, kwasababu kwa bahati mbaya … Continue reading Nini maana ya Dirii, Chapeo na Utayari?