Bisi ni nini? (Walawi 23:14, Ruthu 2:14)

Bisi ni nini? Kama wengi tunavyofahamu bisi kwa mazingira yetu ni yale mahindi yanayokaangwa na kufutuka na pale yanapobadilika na kuwa na mwonekano mwingi