Jaa ni nini katika biblia?

“Jaa” ni nini katika biblia? Jaa ni mahali ambapo uchafu unalundikwa, na uchafu huo unaweza kuwa ni kinyesi cha wanyama (yaani mbolea), au uchafu unaotokana na shughuli za kibinadamu (matakataka). Hivyo Jaa ni kama kifupi cha jalala tu. Katika biblia tunaona neno hili likitumika.. Zaburi 133: 7 “Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Na kumpandisha maskini kutoka … Continue reading Jaa ni nini katika biblia?