Je ni wanyang’anyi wawili waliomtukana Bwana Yesu au mmoja?

SWALI: Kitabu cha Mathayo 27:44 na Marko 15:32b inazungumzia wale wanyang’anyi walioteswa pamoja na Yesu kuwa wote wawili walimtukana Yesu pia, ila tukisoma Luka 23:39 inasema ni mmoja ndiye alimtukana sasa kwanini inakuwa hivyo naomba unisaidie nielewe?. JIBU: Tuvipitie vifungu vyenyewe; Mathayo 27:44 “Pia wale wanyang’anyi waliosulibiwa pamoja naye walimshutumu vile vile. Marko 15:32 Kristo, … Continue reading Je ni wanyang’anyi wawili waliomtukana Bwana Yesu au mmoja?