MWANZO WA INJILI YA YESU KRISTO.

Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu katika kujifunza maneno yale yale ya uzima ambayo yalikuwepo tangu zamani, ukweli pekee uliodumu na utakaodumu duniani kwa wakati wote. Leo tutajifunza jambo moja katika kitabu cha Marko.. Tukisoma pale mwanzoni Inasema.. Marko 1:1 “Mwanzo wa Injili ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu. 2 Kama ilivyoandikwa … Continue reading MWANZO WA INJILI YA YESU KRISTO.