SI MAPEPO YOTE NI YA KULIPUKA.

Nyuma kidogo nilikuwa nadhani mtu mwenye mapepo, ni lazima yalipuke, na ikiwa hayalipuka, basi hana mapepo ndani yake. Kumbe mtazamo huu sio sahihi. Tunapaswa tujue kuwa mtu yeyote ambaye hayupo ndani ya Kristo kwa namna moja au nyingine lipo pepo ambalo linaishi ndani yake, aidha kwa kujua au kwa kutokujua, haijalishi kuwa litamlipuka au halimtalipuka. … Continue reading SI MAPEPO YOTE NI YA KULIPUKA.