PATANA NA MSHITAKI WAKO KWANZA.
Shalom, Biblia inasema; Luka 12:58 “Maana, unapofuatana na mshitaki wako kwenda kwa mwamuzi, hapo njiani fanya bidii kupatanishwa naye, asije akakuburuta mpaka mbele ya kadhi; yule kadhi akakutia mikononi mwake mwenye kulipiza, na yule mwenye kulipiza akakutupa gerezani. 59 Nakuambia, Hutoki humo kamwe hata uishe kulipa senti ya mwisho”. Hapo mwanzoni nilidhani mshitaki wetu ni … Continue reading PATANA NA MSHITAKI WAKO KWANZA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed