Maashera na Maashtorethi ni nini?

Ashera au kwa jina lingine anajulikana kama Ashtorethi, Ni mungu-mke wa kipagani ambaye alikuwa anabudiwa katika nchi ya wakaanani, Waashuru na mataifa mengine ya kando kando pale mashariki ya kati.. Ashera pamoja na Baali ni moja ya miungu ambayo ilikuwa ni maarufu sana duniani kwa wakati huo. Katika nchi ya Kaanani walikuwa wanamwabudu katika mfumo … Continue reading Maashera na Maashtorethi ni nini?