Kikuku/vikuku ni nini katika biblia?

Vikuku ni vitu mfano wa bangili ambavyo vinavaliwa aidha mikononi au miguuni, kwa lengo la urembo. Tazama picha juu. Katika enzi za zamani vikuku vilivaliwa na jinsia zote, yaani wanaume na wanawake. Katika biblia tunaona neno hilo likitokea mara kadhaa.. 2 Samweli 1:10 “Basi, nikasimama karibu naye, nikamwua, kwa sababu nalijua hakika ya kuwa hawezi … Continue reading Kikuku/vikuku ni nini katika biblia?