Ayala, Paa na Kulungu ni wanyama gani?

Ayala ni mnyama jamii ya swala, ambaye anapatikana sana maeneo ya nchi za barini, wana pembe ndefu zilizotawanyika kama mashina ya miti (Tazama picha juu). Paa ni jamii ya swala wenye mistari meupe, (Maarufu kama Gazelle kwa lugha ya kiingereza). Paa wanapatikana zaidi maeneo ya ukanda wa joto, kama Afrika. (Tazama picha chini). Na pia … Continue reading Ayala, Paa na Kulungu ni wanyama gani?