Je! Daudi hakuwa mtoto wa ndoa wa Yese? (Zab 51:5)

SWALI: Bwana asifiwe,ukisoma zaburi 51:5,Daudi ana sema mama yake alichukua mimba hatiani, Je kwa mistari hiyo ina maana hakuwa mtoto wa Ndoa wa Yese? JIBU