KUNA MAJIRA MUNGU ATAIVURUGA MIPANGO YETU.

Kuna mhubiri mmoja alisema Mungu havutiwi na ufanisi wetu kwake, bali anavutiwa na Imani yetu kwake, kwasababu biblia inasema.. …lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake (Habakuki 2:4). Ni kweli kabisa, kwa lugha rahisi, unaweza kudhani unapokuwa fanisi muda wote katika kazi ya Mungu, au mambo yako yanapokwenda sawasawa wakati wote kwenye kazi yake ndicho … Continue reading KUNA MAJIRA MUNGU ATAIVURUGA MIPANGO YETU.