Nini maana ya msiwe waalimu wengi (Yakobo 1:3)?

Jibu: Yakobo 3:1  “Ndugu zangu, msiwe waalimu wengi, mkijua ya kuwa mtapata hukumu kubwa zaidi”. Sentensi hiyo ili ieleweke vizuri ni sawa na kusema “pasiwepo na waalimu wengi katikati yenu”. Maneno hayo aliyazungumza Yakobo kwa uongozo wa Roho, kuifunua tabia inayoendelea katika kanisa leo . Pale ambapo kanisani kila mtu ni Mjuaji..(hakuna utaratibu). Jambo ambalo … Continue reading Nini maana ya msiwe waalimu wengi (Yakobo 1:3)?