Mruba ni mdudu gani kwenye biblia?(Mithali 30:15)

Mithali 30:15 Mruba anao binti wawili, Waliao, Nipe! Nipe! Kuna vitu vitatu visivyoshiba kamwe, Naam, vinne visivyosema, Basi! 16 Kuzimu; na tumbo lisilozaa; Nchi isiyoshiba maji; na moto usiosema, Basi! Mrubu au ruba ni mdudu mfano wa  mnyoo, ambaye anapatikana sehemu za maji maji , na matope, kama vile kwenye madimbwi, mito, au mifereji. Wanaangukia … Continue reading Mruba ni mdudu gani kwenye biblia?(Mithali 30:15)