NI SAA KUMI NA MBILI (12) TU, ZA KRISTO KWAKO.

Shalom. Bwana Yesu alisema maneno haya; Yohana 11:9 “…… Je! Saa za mchana si kumi na mbili? Mtu akienda mchana hajikwai; kwa sababu aiona nuru ya ulimwengu huu. 10 Bali akienda usiku hujikwaa; kwa sababu nuru haimo ndani yake”. Utajiuliza ni kwanini Bwana Yesu alijifananisha  na Nuru ya ulimwengu?  Ambayo ni JUA linalofanya kazi saa … Continue reading NI SAA KUMI NA MBILI (12) TU, ZA KRISTO KWAKO.