Kwanini biblia inaitaja mara kwa mara dhahabu ya Ofiri?

SWALI:Kwanini biblia inaitaja mara kwa mara dhahabu ya Ofiri? Umuhimu wake ni upi? Ofiri ni eneo, lililokuwa maarufu zamani enzi za biblia kwa biashara ya madini na vito, eneo hili lilikuwa maeneo ya huko Arabia. Kwamfano dhahabu zote Sulemani alizotumia kujengea hekalu alikwenda kuzichukulia huko Ofiri kwa merikebu zake (Wafalme 10:22) Ni sawa na leo … Continue reading Kwanini biblia inaitaja mara kwa mara dhahabu ya Ofiri?