Kwanini Mungu aliwaagiza wana wa Israeli wasikisaze chakula?

SWALI: Kwanini Mungu aliwaagiza wana wa Israeli siku ile ya kuondoka wasikisaze chakula hata asubuhi? JIBU: Kusaza chakula maana yake ni kukibakisha ili ukimalizie kukila baadaye au kesho yake…Na hiyo inaweza kutokana na mtu kushiba sana wakati huo, hivyo badala ya kukimwaga anakuwa anakihifadhi hicho chakula ili akimalizie kukila tena wakati mwingine. Kama tunavyojua siku … Continue reading Kwanini Mungu aliwaagiza wana wa Israeli wasikisaze chakula?