Vyombo vya uzuri ni vipi vinavyotajwa katika biblia?
SWALI: Shalom mpendwa katika Bwana , swali langu lipo katika kutoka 33:5 BWANA alipomwambia Musa vueni “vyombo vyenu vya uzuri” ili nipate kujua nitakalowatenda . Nataka kujua aliposema hivyo alikuwa na maana gani? JIBU: Tusome habari yenyewe tokea mstari wa kwanza, lipo jambo zaidi ya hilo la kujifunza; Kutoka 33:1 “Bwana akanena na Musa, Haya, … Continue reading Vyombo vya uzuri ni vipi vinavyotajwa katika biblia?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed