NITAUPATAJE UPENDO WA KI-MUNGU NDANI YANGU?

Shalom, Kuna kipindi mitume walimpelekea Bwana hitaji hili; Luka 17:5 “… Tuongezee imani”. Kwao pengine hili lilikuwa ni hitaji jepesi sana , lakini kwa upande wa Bwana halikuwa ombi la kuwajibu kwa sentensi mbili, au kwa kuwawekea  mikono tu na kupokea, hapana, na ndio maana baada ya ulizo hilo, hakukuwa na jibu la moja kwa … Continue reading NITAUPATAJE UPENDO WA KI-MUNGU NDANI YANGU?