Nini maana ya “mkilichukia hata vazi lililotiwa uchafu na mwili”?
SWALI: Biblia inamaanisha nini inaposema “mkilichukia hata vazi lililotiwa uchafu na mwili”?(Yuda 1:23) JIBU: Maneno hayo utayasoma katika vifungu hivi; Yuda 1:22 “Wahurumieni wengine walio na shaka, 23 na wengine waokoeni kwa kuwanyakua katika moto; na wengine wahurumieni kwa hofu, MKILICHUKIA HATA VAZI LILILOTIWA UCHAFU NA MWILI. 24 Yeye awezaye kuwalinda ninyi msijikwae, na kuwasimamisha … Continue reading Nini maana ya “mkilichukia hata vazi lililotiwa uchafu na mwili”?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed