LISHIKILIE SANA LILE AGIZO LA KWANZA.

Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu, ambalo ndio cha kweli cha roho zetu. Kawaida ya Mungu ni huwa hatoi agizo juu ya agizo. Yaani kwa mfano leo akikupa agizo fulani ulitelekeze, haundi agizo lingine juu yake kulibatilisha hilo la kwanza, Atafanya hivyo endapo tu lile la kwanza litakuwa limeisha muda wake. Mara nyingi tunakuwa tukiacha … Continue reading LISHIKILIE SANA LILE AGIZO LA KWANZA.