JE! JICHO LAKO LINAONA NINI KATIKATI YA MAJARIBU?

Shalom. Karibu tujifunze maneno ya uzima, Biblia inatuambia, Bwana wetu Yesu alijaribiwa sawa sawa na sisi, katika mambo yote, lakini hakutenda dhambi wala kutetereka katika imani, Sio kwamba alikuwa mgumu sana kuliko sisi, hapana, yeye mwenyewe alisema.. Yohana 16:33 “Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda … Continue reading JE! JICHO LAKO LINAONA NINI KATIKATI YA MAJARIBU?