Noeli ni nini, na je! Neno hili linapatikana katika biblia?
Noeli kwa lugha ya kilatini ni neno linalomaanisha, “siku ya kuzaliwa” , lakini linalenga mahususi siku ya kuzaliwa kwa mfalme wa ulimwengu duniani (yaani Yesu Kristo). Na kwa lugha ya kifaransa neno hili linaweza kumaanisha aidha “habari njema” au “msimu wa Krisimasi” kwa ujumla. Pengine Neno hili umeshawahi kulisikia sana likiitwa kwa jina la watu, … Continue reading Noeli ni nini, na je! Neno hili linapatikana katika biblia?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed