Chuo cha vita vya Bwana ni kipi?(Hesabu 21:14)
SWALI: Naomba kufahamu hichi “Chuo cha vita vya Bwana” kinachozungumziwa katika Hesabu 21:14 ni kipi?. Hiki ni moja ya vitabu ambavyo vinatajwa katika biblia lakini leo hii havipo, vinginevyo ikiwemo kitabu cha Yashari,(2Samweli 1:18), Kitabu cha tarehe cha wafalme wa Yuda(1Wafalme 14:29), Kulikuwa pia na kitabu cha tarehe ya Nathani nabii, halikadhalika kitabu cha tarehe ya … Continue reading Chuo cha vita vya Bwana ni kipi?(Hesabu 21:14)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed