TAFAKARI SANA KABLA YA KUAMUA HATIMA YAKO.
Tafakari sana kabla hujafikia hitimisho Fulani ambalo ndio litakuwa la kudumu katika maisha yako. Kuna watu wengi sana ambao shetani kawafumba macho, na kuwafanya wasifikiri vyema kabla ya kufikia hitimisho la maisha yao. Kwamfano kuna watu wanatazama mwenendo wa watumishi wa uongo, au waliorudi nyuma, na kuhitimisha kwamba kamwe hawataokoka..kisa tu wameona hao watumishi wakifanya … Continue reading TAFAKARI SANA KABLA YA KUAMUA HATIMA YAKO.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed