UTAKASO NI SEHEMU YA MAISHA YA MKRISTO YA KILA SIKU.

Jina kuu la Bwana wetu Yesu libarikiwe. Ni siku nyingine tena Bwana ametupa pumzi yake kuiona, leo tutajifunza somo linalohusiana na utakaso kwa mtakatifu.